Safisha picha zako kwa AI

Pakia picha ya zamani, iliyofifia, yenye mikwaruzo au ubora mdogo. Picha AI itakusaidia kuitengeneza iwe safi, angavu na ya kisasa.

Safisha Picha inavyofanya kazi

1

Pakia picha

Chagua picha kutoka kwenye simu au kompyuta yako.

2

AI inaboresha

Picha AI hutengeneza matokeo safi kulingana na huduma uliyochagua.

3

Pakua na share

Hifadhi picha yako na uitumie kwenye profile, familia au biashara.

Maswali kuhusu Safisha Picha

Ni huduma ya kutumia AI kuboresha picha za zamani, zilizofifia, zenye mikwaruzo au zenye ubora mdogo.

Ndiyo. Picha AI inafanya kazi vizuri kwenye simu za Android, iPhone na kompyuta.

Lengo ni kuboresha ubora huku tukihifadhi sura, kumbukumbu na muonekano wa picha yako.