Boresha picha zako kwa AI

Tengeneza picha ya kitaalamu kutoka kwenye picha yako ya kawaida. Picha AI hukusaidia kupata muonekano safi, mzuri na unaofaa kushare.

Boresha Picha inavyofanya kazi

1

Pakia picha

Chagua picha kutoka kwenye simu au kompyuta yako.

2

AI inaboresha

Picha AI hutengeneza matokeo safi kulingana na huduma uliyochagua.

3

Pakua na share

Hifadhi picha yako na uitumie kwenye profile, familia au biashara.

Maswali kuhusu Boresha Picha

Ni huduma ya kutumia AI kubadilisha picha ya kawaida kuwa picha safi, ya kuvutia na yenye ubora wa kitaalamu.

Ndiyo. Unaweza kupakia picha na Picha AI ikakutengenezea muonekano wa studio portrait.

Ndiyo. Picha AI imejengwa kwa matumizi ya watumiaji wa Tanzania na inafanya kazi vizuri kwenye simu.